Mwijaku Amshauri Mke wa Baba Levo "Acha Kupigana na Michepuko"



Ameandika Mwaijaku:

Sio kazi ya Mchepuko wa Mwanaume wako kuiheshimu ndoa yenu. Ni kazi ya mume wako kuiheshimu ndoa yenu. Kumbuka, wewe na mume wako pekee ndio mlisimama mbele ya madhabahu na kula kiapo cha ndoa.

Acha kupigana na mtu wa nje ambaye hakuwepo wakati mnakula kiapo. Je, utapigana na wanawake wangapi kabla hujagundua kuwa Mume wako ndio haheshimu Kiapo mlichoapa?

Haijazoeleka, lakini Muda mwingine ukweli ni vizuri usemwe. Dili na Mume wako. Stop fighting irrelevant parties!!!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad