Onana, Miquissone NOMA Sana, Wawalaza na Viatu Singida, Wachapa 2-0

Onana, Miquissone NOMA Sana, Wawalaza na Viatu Singida, Wachapa 2-0


Chuma mbili zilizowekwa kambani na Willy Onana na Luis Miquissone zimetosha kuwalaza na viatu Singida FG ambao waliingia kwenye mchezo wa hatua ya Makundi ya Mapinduzi Cup wakionekana kuutaka mchezo kwelikweli.


Mbungi ilikuwa live kutokea uwanja mpya wa Amaani Visiwani Zanzibar ambapo kamba ya kwanza iliwekwa na Onana kupitia mpira wa faulu huku Miquissone akiwaadhibu kwa shuti kali nje kidogo ya kumi na nane.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad