Orodha hii imeakisi Nchi zenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, migogoro ya kikabila na Dini.
Aidha, Uviko-19, mfumuko wa bei unaoongezeka kutokana na vita nchini Ukraine vilifanya hali za kuwa mbya zaidi.
10. Liberia
9. Chad
8. Malawi
7. Niger
6. Msumbiji
5. DRC
4. Somalia
3. CAR
2. Burundi
1. Sudan Kusini.