Paul Makonda Aibuka Amtaka Mbowe Wafanye Mdahalo wa Wazi Kabla Hawajaenda Kuandamana



Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake mwenyewe na viongozi wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano

Paul Makonda Amesema Yuko radhi Mdahalo huo uandaliwe na Waandishi wa Habari watakao wachague wao wenyewe
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad