PAUL Makonda atuma salamu Tanesco: Mnajisikiaje, mnaona fahari kusikia malalamiko?

 

PAUL Makonda atuma salamu Tanesco: Mnajisikiaje, mnaona fahari kusikia malalamiko?

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda leo alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali leo Desemba 21, 2023 jijini Dar.


Kwenye mazungumzo hayo, amewahoji swali hili Tanesco juu ya adha wanayokutana nayo wananchi ya kukatikakatika umeme.


“Swali letu kama chama kwa watendaji wa TANESCO..je kelele zote na maumivu ya wananchi kwa sababu ya kukosekana kwa umeme, je mnajisikiaje au mnaona fahari kuendelea kusikia malalamiko ya Umeme?" alihoji Makonda.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad