Paul Makonda "Nilivyotoka Kwenye Cheo Cha Mkuu wa Mkoa Nilidharaulika"



"Chama hakitakubali ,Mtendaji yeyote wa Serikali akichonganishe na wapiga kura wake ,Kuna watu wako ofisini hawaelewi ya kwamba ndugu zao wanawaheshimu kutokana na vyeo walivyo navyo,Mimi niliwahi kuwa mkuu wa mkoa nilipotoka kwenye Cheo nilidharaulika " Katibu wa NEC -Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Paul Christian Makonda
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad