Tukio la Moto katika Studio za Mjini FM
Wapendwa wananchi na washirika wet wakubwa,
Tunatoa taarifa vene huzuni kubwa kuhusu studio zetu za Mini Fm ambazo zimekumbwa na tukio la moto lililosababisha madhara makubwa. Tunapenda kuwahakikishia kwamba kila mtu yupo salama, na hakuna majeruhi aliyeripotiwa.
Moto huo uliotokea leo, ljumaa tarehe 12 Januari 2024, umesababisha uharibifu mkubwa kwenye vifaa vetu vya studio. Tunafanva tathmini va kina ju va uharibifu kwa kushirikiana kwa karibu na mamlaka husika kuchunguza chanzo cha tukio.
Tukio hili ambalo halikutarajiwa limevuruga shughuli zetu kwa muda. Tunatambua usumbufu wote ambao wanaweza kupata wasikilizail wet watiifu na washirika wet waaminifu. Tunaelewa umuhimu wa Mjini FM katika jamil vetu na tuko tayari kujenga upya na kurudi kwenye shughuli zetu.
Wakati wa kipindi hiki kigumu, tunaomba mtuvumilie. Tunashukuru kwa mshikamano a moyo wa faraja na pole zen ambazo tunazipokea kutoka kwenu.
Tutaendelea kuwahabarisha kuhusu maendeleo yetu na mipango ya muda mtupi itakayokuwepo ya kurejesha nuduma zetu.