Rais Mwinyi Amvalisha Rais Samia Nishani ya Uongozi wa kipekee

 

Rais Mwinyi amvalisha Rais Samia Nishani ya uongozi wa kipekee

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024.


Rais Samia ametunukiwa Nishani hiyo katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad