Rais Samia Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa DART


Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART) kuchukua nafasi ya Dkt. Edwin Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.

Taarifa iliyotolewa na IKULU usiku huu imesema pia Rais Samia amemteua Musa N. Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA ambapo awali alikua akikaimu nafasi hiyo.



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad