RATIBA Kamili ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024



RATIBA Kamili ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024
RATIBA Kamili ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024

RATIBA Kamili ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024



Jumapili January 07, 2024
16:15 KVZ FC vs Mlandege FC
20:15 Yanga SC vs APR FC

➡️Jumapili January 08, 2024
16:15 Azam FC vs Singinda FG
20:15 Simba SC vs Jamhuri SC



Kuhusu Mapinduzi Cup Zanzibar 

Mapinduzi Cup ni Mashindano ya soka ya mtoano Zanzibar. Mapinduzi kwa maana ya Mapinduzi kwa kutambua Mapinduzi ya Zanzibar.

Mapinduzi Cup ni Mashindano yaliyoundwa na Shirikisho la Soka Zanzibar kuadhimisha siku ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Januari.

Mashindano haya yalifanyika Kwa mara ya Kwanza mwaka wa 1998. Hata hivyo, kombe hilo huchezwa kati ya vilabu vya zanzibari pamoja na vilabu kutoka Tanzania Bara.

Tangu 2013 vilabu kutoka Kenya na Uganda vimealikwa kushiriki mara kwa mara. Pamoja na Kombe la Zanzibar na Kombe la Nyerere, michuano hiyo mitatu ndiyo michujo Mikuu ya mtoano visiwani Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad