Shaffih Dauda Ashinda Tuzo ya Mwanahabari Bora wa Habari za Michezo Barani Afrika

Shaffih Dauda Ashinda Tuzo ya Mwanahabari Bora wa Habari za Michezo Barani Afrika


Mchambuzi wa michezo kutoka HiliGame na SportsXtra za CloudsFM @shaffihdauda_ ameshinda tuzo ya Mwanahabari bora wa habari za michezo barani Afrika kwa mwaka 2023 .

Utoaji huo wa tuzo ulifanyika mwezi Disemba mwaka 2023 nchini Ghana , mapema leo asubuhi akiwa nchini Ivory Coast 🇨🇮 kwenye mashindano ya AFCON Shaffih Dauda amekabidhiwa tuzo yake kutoka Management of AFRICAN FOOTBALL AWARDS @footballagentforthetalented & @talentexpoentertainment

Menejimenti ,uongozi na wafanyakazi wa Clouds Media tumekuverify endelea kuwa unachotaka.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad