Straika wa Mabao Arudi Cameroon

 

Straika wa Mabao Arudi Cameroon

Maombi ya Taifa la Cameroon yamejibiwa, huyu mwamba aliiua Brazil na akafanya mabalaa pale Qatar akitokea benchi, ndio ni Vicent Aboubacar.


Ni top Striker Barani Afrika kwasasa, uwezo, nguvu na upambanaji kwa ajili ya Taifa lake ni 100% huyu ndio maana halisi ya uzalendo aliokuwa anausema Eto'o.


Usije kushangaa akamaliza mashindano akiwa mfungaji bora na ameanza hatua ya mtoano

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad