Suala la Kumuacha Asmah Siwezi kushauriwa na Mama Ruby, ni mimi Mwenyewe Niamue - Babalevo



Suala la kumuacha Asmah siwezi kushauriwa na Mama Ruby, ni mimi mwenyewe niamue - Babalevo

Kufuatia ugomvi wa mke wa Babalevo anayeitwa Salma(Mama Ruby) na mchepuko wa Babalevo anayeitwa Asmah, leo Babalevo akiongea amedai kwamba mke wake ndie chanzo cha yeye kuanzisha mahusiano hayo nje na kuanzia sasa hivi mke wake ndie atakua mchepuko na Asmah atakua mke

Na kabla ya hayo Babalevo aliandika yafuatayo...

"Mara ya mwisho kubembeleza mwanamke ilikuwa mwaka 1997, nakumbuka ilikuwa Jumatatu nilimbembeleza mama yangu mzazi aniache nilale nisiende shule 🤣🤣"

Mchepuko ni aliyevaa shati la njano na bluu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad