Taifa Stars Wahaidiwa Bilioni 1.3 Endapo Watafuzu 16 Bora AFCON



Wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania (@taifastars_) wameahidiwa Dola 500K sawa na TZS bilioni 1.3 endapo itafuzu hatua ya 16 bora ya fainali za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Kwa kuifunga DR Congo.

Stars leo inashuka dimbani dhidi yq DRC majira ya saa 5.00 usiku kwenye Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly mjini Karhogo katika mchezo wa mwisho wa kundi F baada ya kupata alama moja kwenye ya sare ya bao 1-1 na Zambia.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema ahadi hiyo ya fedha imetolewa ili kuwaongezea hamasa kwa wachezaji.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad