Tanzia: Baba Mzazi wa Mwanamuziki Farid Kubanda Afariki Dunia

Tanzia: Baba Mzazi wa Mwanamuziki Farid Kubanda Afariki Dunia


Mwanamuziki wa Hiphop nchini Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Kubanda.


Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, @therelfidq ameandika “Ninasikitika kuwataarifu ya kwamba.. mzee wangu, baba yangu, Mzee Kubanda ametangulia mbele ya haki,”


Fid Q ameeleza kuwa mazishi ya babaye yatafanyika kesho kijijini kwake Nasa mkoani Mwanza.“Inna lillah wainna ilaih raajiuun ???????? (Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake tutarejea).” Ameandika Msanii huyo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad