Tanzia! Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini Thabo Mbeki Amefariki Dunia




Bwana Thabo Mvuyelwa Mbeki alikuwa ni Rais wa pili kuiongoza Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 14 Juni 1999 hadi tarehe 24 Septemba 2008 alipolazimishwa kujiuzuru kutoka madarakani na Chama cha ANC. Aliwahi pia kuwa ni Makamu wa Rais, chini uongozi wa Hayati Rais Nelson Mandela kuanzia mwaka 1994 hadi mwaka 1999. Amewahi pia kuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika kati yam waka 2002 hadi mwaka 2003. Alizaliwa tarehe 18 Juni 1942 huko Mbewukeni, E. Cape

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican.

Bwana Thabo Mvuyelwa Mbeki aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini amefariki dunia tarehe 3 Januari 2024 akiwa na umri wa miaka 74, baada ya kukimbizwa hospitalini, baada ya kuugua kwa muda mfupi. Rais Mstaafu Mbeki alikuwa akilalamika maumivu ya moyo na hivyo kulazimika kukimbizwa Hopsitalini, lakini akakumbwa na mauti, tukio ambalo limewashtua wananchi wengi wa Afrika ya Kusini. Chama cha ANC kimepokea taarifa hizi kwa mshtuko mkubwa.
Afrika ya Kusini wakiomboleza kifo cha Thabo Mbeki

Bwana Thabo Mvuyelwa Mbeki alikuwa ni Rais wa pili kuiongoza Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 14 Juni 1999 hadi tarehe 24 Septemba 2008 alipolazimishwa kujiuzuru kutoka madarakani na Chama cha ANC. Aliwahi pia kuwa ni Makamu wa Rais, chini uongozi wa Hayati Rais Nelson Mandela kuanzia mwaka 1994 hadi mwaka 1999. Amewahi pia kuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika kati yam waka 2002 hadi mwaka 2003. Itakumbukwa kwamba, Bwana Thabo Mvuyelwa Mbeki alizaliwa tarehe 18 Juni 1942 huko Mbewukeni, East Cape.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad