Timu ya Yanga Yapunguzwa Mwendo Kasi na KVZ Mapinduzi Cup

 

Timu ya Yanga Yapunguzwa Mwendo Kasi na KVZ Mapinduzi Cup

Yanga SC imeambulia sure mbele ya KVZ katika mashindano ya Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar.


Mechi hiyo ambayo ilikuwa na mabadiliko makubwa katika kikosi cha Yanga ilipigwa kwenye uwanja wa Amaani visiwani humo.


Kwa sure hiyo ya bila kufungana, Yanga amezidi kubaki kileleni katima kundi C akiwa nafasi ya kwanza na alama zake 7 huku KVZ akishika nafasi ya pili na alama zake 5.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad