Timu Zilizofuzu Robo Fainali Mapinduzi Cup


Robo Fainali Mapinduzi Cup
Robo Fainali Mapinduzi Cup

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Mapinduzi Cup


RATIBA ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024, Timu Zilizofuzu Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024, Mapinduzi Cup 2023/2024, Kombe la Mapinduzi 2023/2024, Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2024, Ratiba Kamili ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024 Zanzibar, ratiba kamili ya Mapinduzi Cup 2023/2024.

Mashindano ya Mapinduzi Cup 2023/2024 yalioanza December 28, 2023 yakijumuisha timu 12 kutoka nchi sita yanatarajiwa kufika tamati January 13, 2024, Mapinduzi Cup 2024 Fixtures, Table and Results: Kombe la Mapinduzi 2023-24.

Robo Fainali ya Michuano hiyo inatarajiwa kuchezwa January 7 na 8 na Nusu Fainali itachezwa January 10 huku Fainali ikipigwa January 13,2024

Udaku Special inakuletea Orodha ya timu zilizofanikiwa kutinga Robo Fainali ya Michuano hiyo ambayo Mshindi wake atabeba Tsh Milioni 100 na Mshindi wa Pili ataondoka na Milioni 80.

Orodha Kamili ya Timu Zilizofuzu hatua ya Robo Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024.

Azam FC – Tanzania Bara.
Singida FG – Tanzania Bara
Yanga SC – Tanzania Bara.
Simba SC – Tanzania Bara.
Mlandege FC – Zanzibar.
KVZ FC – Zanzibar.
APR FC – Rwanda.
Jamhuri SC – Zanzibar.

Ratiba ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023/2024

Nusu Fainali ya kwanza itazikutanisha Mshindi kati ya Yanga SC vs APR FC dhidi ya Mshindi kati ya KVZ FC vs Mlandege FC.

Nusu Fainali ya Pili itazikutanisha Mshindi kati ya Azam FC vs Singinda Fountain Gate FC dhidi ya Mshindi kati ya Simba SC vs Jamhuri SC.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad