Timu Zilizotabiriwa Makubwa Kombe la AFCON Zatolewa nje ya Mashindano


Katika Kombe la Mataifa ya Afrika 
2023. baadhi ya Timu zilizopewa nafasi kubwa ya kutwaa taji hili tayari zimeaga

1. Timu ya Taifa ya Misri iliyoshinda taji hilo mara nyingi zaidi katika historia ya mashindano hayo, ilitolewa katika hatua ya 16 bora.

2. Cameroon timu ya pili kwa mafanikio katika historia ya mashindano hayo, ilitolewa katika hatua ya 16 bora.

3.Senegal, bingwa kwa msimu uliopita, ametolewa katika hatua ya 16 bora.

4.Ghana, timu ya tatu kwa mafanikio katika historia ya mashindano hayo, ilitolewa katika hatua ya makundi.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad