Vanessa Mdee Afunguka Hali ya Mdogo Wake Mimi Mars

 

Vanessa Mdee Afunguka Hali ya Mdogo Wake Mimi Mars

Dada wa mwanamuziki Mimi Mars, Vanessa Mdee amejitokeza kutoa taarifa juu ya afya ya mdogo wake ambaye tetesi zimekuwa zikisambaa mtandaoni kuwa amepata ajali mbaya ya gari.


Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Vanessa Mdee amefunguka kuwa;


"Mimi Mars anaendelea vizuri kwa sasa na familia ingeomba kupewa faragha katika kipindi hiki."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad