Waarabu wa Morocco Watolewa AFCON, Wachapwe 2 na South Africa

Waarabu wa Morocco Watolewa AFCON, Wachapwe 2 na South Africa


Hali inaendelea kuwa ngumu kwa Waarabu kwa kuendelea kutolewa nje ya Mashindano ya AFCON, Leo South Africa imewafunga waarabu wa Morocco Mabao Mawili Kwa Bila na kufanya timu ya Bafanabafa kusonga robo fainali 

Magoli ya South Africa yamefungwa na Evidence Makgopa dakika ya 57' na Teboho Mokoena dakika ya Ngongeza 90+5'


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad