Wale Timu ya Congo ni Kama Sisi tu Kwa Kiwango Sema Wanabahati



"Inawezekana watu wamevunjika moyo sana timu yetu (Taifa Stars) kuishia kwenye hatua ya kwanza lakini jamani hebu tuangalie na ushiriki wetu ulikuwaje? Kwenye hatua ya kwanza kwenye michezo tuliyocheza tumepoteza mchezo mmoja na mingine yote tumepata sare ni ushindani tu.

Mfano Kongo ambaye Leo anakwenda kucheza Robo fainali tumetoka naye sare, tafrisi ya kimichezo tulikuwa sawa, wakati mwingine mpira unadunda. Tunaipokea kama changamoto. Tunajipanga kwa ajili ya AFCON mwakani Morocco" @GersonMsigwa, Katibu Mkuu wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad