Web

Ahmed Ally "Mechi za Robo Fainali Kwetu SIMBA Hatujawahi Kushindwa"

Top Post Ad


 
“Mechi Kama hii ambayo tunakwenda kuicheza Jumamosi, Simba tumeshacheza mechi za aina hiyo tano (5) na zote tulipa ushindi.

“Hatujawahi kushindwa kupata ushindi katika mechi ya hatua kama hii ya kutupeleka hatua ya robo fainali, na Machi 2, 2024 tunaenda kuandikisha historia nyingine,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.