Ali Kamwe Furaha Tupu Baada ya Kikosi Cha Yanga Kukamilika, Watu Watakula Magoli Sana Msimu Huu



kamwe Ameandika haya: 

“Kikosi chote cha Yanga kimekamilika, session ya leo ya mazoezi ni session ambayo inawapa furaha makocha,viongozi na naamini hata mashabiki wa Yanga”

“Niwaambie tu mashabiki wa Yanga,timu yao imekamilika kinachofuatia mbele ni kuomba Mungu atuepushe na majeruhi ,tukiepuka hilo tutakuwa na uhakika wa kwenda kwenye mechi na best 11”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad