Ally Kamwe Awatupia Dongo Hili Simba



Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe
Wakati wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouzdad ya nchini Algeria.

Mseamji wa Yanga Ally Kamwe amesema kwa sasa wao hawana muda wa kubisha na yoyote na badala yake wanajiandaa kufanya vyema katika mchezo wa ugenini dhidi ya Al Ahly.

Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Kamwe anasema;

“Yanga Mpira tumeutoa mdomoni na kuuweka Mguuni, sisi sio kama wale na ndio maana jumamosi mliona Belouizdad wanalaumiana wenyewe kwa kuzidiwa uwanjani lakini sio kwa mambo ya nje ya uwanja kama kuloga n.k”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad