Angella Amuumbua Harmonize "Unapiga Simu Kila Mahali Kuzuia Riziki Zetu Pale Tunapojitafuta'



Msanii wa zamani wa lebo ya @kondegang, @anjella_tz amjibu @harmonize_tz..? baada andiko lake instagram kuwahusu wasanii walioondoka katika lebo hiyo.

"Broh safari gani uliyobariki?! Wakati unapiga simu kuzuia riziki zetu pale tunapojitafuta Wewe ndo wa kwanza usiependa mafanikio yetu... au niweke ushahidi hapa".

Baada ya @harmonize_tz kuandika; "Nimekaa hapa nawatazama wale waliofanikiwa kuwatia ujinga wasanii wengine ambao walikuwa @kondegang na kuwaaminisha watafanikiwa zaidii hata mimi wakati mwingine ilinibidi niamini hivyo ndio maana kwa Moyo mkunjufu nilizibariki safari zaoo!!!."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad