Askofu Malasusa Aeleza Sababu za Mwili wa Lowassa Kutofunuliwa Wakati wa Kumuaga Kanisani



Katika Ibada Maalum ya Kumuombea aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Alex Malasusa amesema hakuna ulazima katika kanisa kufungua na kuona mwili wa mwanadamu aliyefariki na kwamba sio sheria kufanya hivyo.

“Tuwe tunatazamana tukiwa hai tusisubiri mtu amelala, msifikiri kwenda kuaga lazima ufungue mtu wamuone siyo lazima”

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

Endelea kufatilia habari zetu kila siku kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwemo Instagram

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad