Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba Aanza Kufungulia Busta, Aipandisha Simba Nafasi ya Pili

Babacar Sarr Mchezaji Mpya wa Simba Aanza Kufungulia Busta, Aipandisha Simba Nafasi ya Pili


Babacar Sarr amefunga goli pekee lililoipa #Simba ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Geita Gold katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

Ushindi huo umeifanya Simba ifikishe pointi 33 na kushika nafasi ya pili, ikiishusha #AzamFC yenye pointi 32, timu hizo zikiwa zimecheza michezo 14 kila moja. Yanga ipo nafasi ya kwanza kwa kuwa na pointi 40 katika michezo 15

Mchezo mwingine wa awali wa Ligi hiyo, Mtibwa Sugar ikiwa nyumbani imefungwa magoli 3-2 dhidi ya Ihefu kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad