Bondia Mwakinyo Awapiga Mkwara MZITO Waandaaji wa Pambano Lake na Twaha Kiduku

 

Bondia Mwakinyo Awapiga Mkwara MZITO Waandaaji wa Pambano Lake na Twaha Kiduku
Hassan Mwakinyo

Bondia Mwakinyo awapiga mkwara waandaaji wa pambano lake na Twaha Kiduku

"Mapromota wadogo kwangu nyie ni muhmu na mna maana kubwa sana kwangu lakini kwenye hili wacheni kupiga simu kwangu na kumsumbua meneja wangu najua mna shauku na matumaini tu ya kibinaadam lakini ukweli kati yenu hakuna mwenye uwezo wa kuandaa hilo pambano kwa upande wangu it’s a lot of money ni pambano pesa linalo weza kubadilisha maisha ya promoter kupata hela ambazo hakuzitarajia kwa karne ya maisha yake yote that’s why also i need to fight binafsi sitakuwa daraja la kumfikisha mtu kwenye hela ikiwa sina hela naifaham thaman yangu na najua biashara ya ngumi ilivyo it’s really business na sio majarbio ya utajiri ikikosekana namna kabisa upo uwezekano mkubwa pia nikaliandaa mwenyewe kupitia promoshen yangu ya mwakinyo pros na bado tukapata tv ya kuonyesha ……Understood.." Mwakinyo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad