CALISAH: Niko Radhi Kuishi na Mwanamke Mwenye MTOTO Lakini sio Aliyenizidi Kifedha

CALISAH: Niko Radhi Kuishi na Mwanamke Mwenye MTOTO Lakini sio Aliyenizidi Kifedha
CALISAH


Mwanamitindo kutoka nchini Tanzania, Calisah amesema kuwa hawezi kuwa na mwanamke aliyemzidi kwa kila kitu hususani katika kipato.


Akiwa katika mahojiano na mmoja ya chombo cha habari nchini Calisah ameeleza kuwa mwanamke atakaye kuwa naye lazima awe chini kwa kila kitu kuanzia, maokoto, umri na mambo mengine.


Hata hivyo mwanamitindo huyo amedai kuwa yupo radhi kuishi na mwanamke mwenye mtoto kuliko aliyemzidi maokoto.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad