Chama Hakamatiki Ligi Kuu; Mechi Nne: Magoli 2, Assist 2


 

Nyota wa Simba SC, Clatous Chota Chama ameshacheza mechi nne za NBC Premier League, tangu arejee kutoka kwenye michuano ya #AFCON2023 iliyofanyika nchini Ivory Coast.


Katika mechi hizo, Mwamba huyo wa Lusaka, ameshacheka na nyavu mara mbili, akifunga kwenye mchezo dhidi ya Azam FC na leo dhidi ya JKT Tanzania.


Mbali na magoli, Chama ametoa pasi mbili zilizozaa magoli. Pasi hizo alitoa kwenye mchezo dhidi ya Tabora United ambapo Simba ilishinda magoli 4-0.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad