Christiano Ronaldo Afungiwa



Shirikisho la soka nchini Saudi Arabia limemfungia mchezo mmoja nyota wa klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo kufuatia aina ya ushangiliaji wake alipoifunga timu ya Al-Shabab.

Ronaldo alifanya kitendo hicho baada ya kuwasikia mashabiki wa Al-Shabab wakiimba kwa kulitaja jina la mshambuliaji wa klabu ya Inter Miami, Lionel Messi.

Katika mchezo huo Al-Nassr iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Al-Shabab.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad