Diamond Ndio Mwanaume wa Kwanza Kwa Zuchu

Diamond Ndio Mwanaume wa Kwanza Kwa Zuchu


Kwa mujibu wa @mashalovietz anasema @diamondplatnumz ndio mwanaume wa kwanza kwa @officialzuchu na ndio maana inakuwa ndumu sana kwa #Zuchu kumuacha mwanaume huyo.


Masha anasema alipoona #Zuchu ameandika ujumbe wa kumuacha #Diamond aliumia sana hali iliyompelekea kuto kula kwa siku 2 mpaka kupelekwa Hospital kwaajili ya vidonda vya tumbo lakini anashukuru Mungu baada ya wapenzi hao kurudiana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad