Diva Atoa Mpya 'Naolewa na Mzungu Ndani ya Miezi Mitatu, Abdul ni Muongo na Msaliti'



Diva Ameandika haya: 

"Natarajia kufunga ndoa ya Kikristo Miez 3 Ijayo.
Na Mwanaume ambae ni Mjerumani.
Ni swala Ambalo nimelifikiria for a very long time na ni mtu ambae alikuwa na mimi miaka 5 iliopita kabla ya kuamua kuolewa ila sasa dawn to the new era.
kwenye ndoa yangu ya Kiislamu i was very faithful i did everything but now i deserve better. kuna vingi nimegundua kwa watu wa karibu sana na mwanaume huyo niliekuwa nae ambae he wil never change.
kwanza muongo Msaliti , playing victim in every situations , but he is good at Playing games .. issue ya wanawake ndio usiseme aisee .. so far unaeza kuta ana ndoa ata kumi za kutia ubani .. he is a liar to the maximum.

ikno myself n iknow thaman yangu kama mwanamke kama Diva and as a Brand .. as a celebrity as well i had enough!.
so done ...
Speaking of mtu anaeenda nioa ni mtu na nusu ..
ana roho na utu lakini Pia ni mtu ambae ndugu zake ni watu wema sana ... si mtu wa Mapichapicha na hana scandal chafu za wanawake kila kona .. He is a Man and a Half and he truly cares for me hata nilipokuwa ktk ndoa alikuwa rafiki mwema na alinijali kwa kila nililopitia ...
Si Muongo na Ni mtu muwazi sana ..
time to start a new life" Diva

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad