Msanii wa muziki wa Singeli @dullamakabila amekanusha vikali kutoka kimapenzi na aliekuwa Mke wa @hajismanara, @rushaynah_ huku akidai kuwa wao wawili ni mtu na Dada yake tu na hamna mengine.
Mara ya kwanza wawili hao kuonekana pamoja ilikuwa wiki iliyopita kwenye Show ya #DullaMakabia Yombo na #Rushaynah alitambulishwa mbele ya mashabiki kama Shemeji yao.