Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Grid ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Grid
Imesema juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana katika maeneo yote yaliyoathirika
Shirika limewaomba uvumilivu wateja wake wote wakati wataalamu wao wakiendelea na jitihada za
urejeshaji wa mfumo wa Grid ya Taifa