Haji Manara "Zaiylissa Hajawahi Kuniomba Hela"

 

Haji Manara "Zaiylissa Hajawahi Kuniomba Hela"



Haji Manara amesimulia kuwa, mke wake Zaiylissa hajawahi kumuomba fedha kama ambavyo wengine hufanya kwa wanaume.


Haji ametoa kauli hiyo alipokuwa anafanya mahojiano na Clouds FM.


"Zay kwa mara ya kwanza niliona picha yake ilitumwa kwenye magroup ya Yanga alikuwa amevaa jezi ya Yanga. Niliuliza huyu ni nani? Utani ulikuwa mwingi nikaomba connection ili nimpe kazi ya matangazo.


"Dakika mbili tu ilitumwa page yake. Nilimwangalia nikaona ni mwanamke mrembo. Nika m-DM. Baada ya Dakika Tano alinijibu. Nikamwambia nahitaji kukutana naye. Alinitumia namba. Tulikuwa tunawasiliana. Hajawahi kuniomba hela hata simu moja," alisema Manara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad