Harmonize na Poshy Queen Wameachana, Wafuta Picha zao Instagram



Kuna nini kinaendelea kati ya wapenzi hawa wapya Harmonize na mrembo Poshy, kwani baada ya jana kwenye Siku ya Wapendanao kuonekana katika video wakipata dinner pamoja ghafla kila mmoja amefuta post zote kumhusu mwenzie.

Lakini pia kama haitoshi wawili hawa wamepunguzana instagram kwasasa sio @harmonize_tz wala @poshyqueeen ambaye amem-follow mwenzake. 👀

Je, penzi lao limefika mwisho…⁉️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad