Hawa Ndio Mastaa Wenye Wafuasi Wengi zaidi Instagram, Diamond Platnumz wa 17

Hawa Ndio Mastaa Wenye Wafuasi Wengi zaidi Instagram, Diamond Platnumz wa 17


Supastaa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa 'Diamond Platnumz' kutoka Bongo anashika nafasi ya 17 kwenye orodha ya mastaa wa Afrika wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram hadi Februari 2024, akiwa na wafuasi zaidi ya milioni 17.5.


Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, nafasi ya kwanza inashikwa na kiungo mshambuliaji wa Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri, Mohammed Salah mwenye wafuasi zaidi ya milioni 63.4.


Kwenye To 21, Misri pekee imeingiza watu maarufu 9, Nigeria mastaa 6, wakati Tanzania ikiingiza mtu mmoja tu ambaye ni kijana wa Tandale.


Most Followed Africans on Instagram;


1. Mohamed Salah - Misri (63.4 million)

2. Tamer Hosny - Misri (32.2M)

3. Mohamed Ramadan - Misri (30.3M)

4. Davido - Nigeria (28.9M)

5. Ab De Villiers - Afrika Kusini (24.3M)

6. Amr Diab - Misri (23.9M)

7. Yasmine Sabri - Misri (21.9M)

8. Mustafa Hosny - Misri (21.7M)

9. Candice Swanepoel - Afrika Kusini (20.3M)

10. Achraf Hakimi - Morocco, Hannah El-Zahed - Misri (20.2M each)

12. Ahmed Helmy - Misri (19M

13. Yasmin Abdelaziz - Misri (18.5M)

14. Wizkid - Nigeria, Tiwa Savage - Nigeria (18.4M each)

16. Yemi Alade - Nigeria (17.8M)

17. Diamond Platnumz - Tanzania (17.3M)

18. Dorra Zarrouk - Tunisia (16.7M)

19. Burna Boy -Nigeria, Sadio Mane - Senegal (16.6M each)

21. Funke Akindele - Nigeria (16.5M).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad