Huu Hapa Ndio Ugonjwa Uliomuua Edward Lowassa


Lowassa
Edward Lowassa


Aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kujikunja utumbo, matatizo ya mapafu na shinikizo la damu.

Akitangaza kifo cha Waziri Mkuu huyo wa zamani na mgombea wa urais mwaka 2015, Makamu wa Rais, Dk Isdore Mpango alisema Lowassa alikuwa akiugua kwa muda mrefu na Januari 14 alilazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).

DK Mpango alisema kabla ya kifo Lowassa pia alipelekwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad