KIMEUMANA: Mbunge Awalipua Wakuu wa Mikoa na Wilaya Adai Wamezubaa PAUL Makonda Anafanya Kazi Zenu

 

Mbunge Awalipua Wakuu wa Mikoa na Wilaya Adai Wamezubaa PAUL Makonda Anafanya Kazi Zenu
Mbunge wa Viti Maalum, Agnester Lambert 

Mbunge wa Viti Maalum, Agnester Lambert amesema Wakuu wa Mikoa, Wakuu Wilaya pamoja na Wakurugenzi ndio wasimamizi namba moja wa shughuli za Wananchi na kitendo cha Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda kwenda kutatua changamoto za Wananchi kinaonesha dhahiri kwamba wateule hao wa Rais wameshindwa kutekeleza majukumu yao.


Lambert ameyasema hayo hii leo Februari 13, 2024 Bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI.


“Kwenye ziara ya makonda haina majungu mbona akifika anawaunganisha wananchi na wateule hao wa Rais awabana pale pale yanaisha wao wanashindwa nini ?” aliuliza lambert.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad