Ligi KuuNBC: Vikosi Simba vs Azam FC Leo

Ligi KuuNBC: Vikosi Simba vs Azam FC Leo


Vikosi vinavyoanza katika mchezo wa Derby ya Mzizima kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza.


Kocha wa Simba SC amefanya mabadiliko manne kutoka kikosi kilichoanza katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Tabora United.


Shomari Kapombe anaanzia benchi huku nafasi yake ikichukuliwa na Israel Mwenda, Hussein Kazi anaanza badala ya Kennedy Juma.


Fabrice Ngoma anarejea kikosini akichukua nafasi ya Sadio Kanoute huku Freddy Michael Kouablan akianza badala ya Pa Omar Jobe.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad