Magari 7 Msafara wa Paul Makonda Yapata Ajali


Msafara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda umepata ajali katika Mji wa Masasi Mkoani Mtwara majira ya saa tisa alasiri leo Feb 11,2024 ukihusisha magari zaidi ya saba yaliyokuwepo katika msafara huo uliokuwa unatokea Mkoani Ruvuma kuja Jijini Dar es salaam.

Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, hakuna kifo kilichotokea kwenye ajali hiyo na hali ya kiafya ya Makonda ipo salama.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad