Matokeo Yanga na KMC, Mudathir Anakitaka Kiatu cha Dhababu, Guede Majini ya Mayele Yampata

 

Matokeo Yanga na KMC, Mudathir Anakitaka Kiatu cha Dhababu, Guede Majini ya Mayele Yampata

Bao la mapema zaidi kwa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara limefungwa mzunguko wa pili na Mudathir Yahya Uwanja wa CCM Kirumba dakika ya kwanza.

Ikumbukwe kwamba bao la kwanza kwenye mzunguko wa kwanza lilifungwa na Dickson Job dakika ya 19 Uwanja wa Azam Complex dhidi ya KMC.

Kwenye mchezo wa leo Februari 17 ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba wakati ukisoma KMC 0-1 Yanga ni makosa ya safu ya ulinzi kwenye kupeana pasi yaliwaponza na Yanga wakatumia makosa hayo kufunga.

Ni Mudathir Yahya anakuwa nyota wa kwanza kuwainua mashabiki wa Yanga wakiwa ugenini ndani ya Morogoro, Mji kasoro bahari.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad