Mtambo wa Umeme Bwawa la Julius Nyerere Kuwashwa, Majaribio Tayari


Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP)
Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP)

Wizara ya Nishati Nchini kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imesema majaribio kwa njia ya maji ya mtambo namba 9 katika mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) lililopo Rufiji Mkoani Pwani yamefanikiwa na hivi karibuni mtambo huo utawashwa rasmi ili kuanza uzalishaji umeme.

TANESCO imesema mpaka sasa majaribio hayo yamefanikiwa na kwa sasa kinachosubiriwa ni uwashwaji wa mtambo ili kuanza uzalishaji huo wa umeme “Wananchi wakae tayari hivi karibuni tunawasha”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad