Mtanzania Mwanamke Ahukumiwa Kifungo Miaka 45 KENYA Kwa Kukutwa na Dawa ya Kulevya

Mtanzania Mwanamke Ahukumiwa Kifungo Miaka 45 KENYA Kwa Kukutwa na Dawa ya Kulevya


KENYA: Mahakama ya Mjini #Mombasa imemhukumu Mtanzania Mwanamke kifungo cha Miaka 45 jela baada ya kumkuta na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya aina ya Heroin zenye thamani ya Ksh.16,167,000 (takriban Tsh. 253,206,340)

Maimuna Jumanne Amir alikamatwa Machi 14, 2021 akiwa na Heroin Kilo 5.3 zilizofichwa katika begi la kusafiria akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa #Moi huko Mombasa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad