Muigizaji Nigeria: Naunga mkono Tendo kabla ya Ndoa

 

Muigizaji Nigeria: Naunga mkono Tendo kabla ya Ndoa

Tosin Adekansola muigizaji maarufu wa nchini Nigeria amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka wazi msimamo wake ya kwamba anaunga mkono swala la 'mapenzi kabla ya ndoa' licha ya msimamo mkali wa jamii dhidi yake.


Kwa mujibu wa Tosin, ni vyema kwa wapenzi wanaotarajia kufunga ndoa kujuana kiundani kimapenzi kabla ya kuoana.


Akitetea hoja yake Tosin anasema usaliti katika ndoa unatokana kwa kiasi kikubwa na wapenzi kutojuana kiundani kila mmoja na uwezo alio nao kwenye kushiriki tendo hilo.


"Kushiriki mapenzi kabla ya ndoa ni vizuri. Jaribu jambo kabla ya kuoa. Kwa sababu baadhi ya wanawake wanafanya usaliti wakiwa wameolewa kwa sababu waume zao hawawezi ****** kitandani” Adekansola alisema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad