Mwanamuziki Huyu Adai Baba Levo Alistahili KIPIGO Kutoka Kwa Harmonize

Mwanamuziki Huyu Adai Baba Levo Alistahili KIPIGO Kutoka Kwa Harmonize


Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mo Music ameeleza kuwa Baba Levo alistahili kupigwa na Harmonize, huku akidai kuwa hata angekuwa yeye angefanya hivyo hivyo.


Mo ameyasema hayo kupitia mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini kwa kueeleza kuwa inauma sana mtu anapokusema vibaya katika utafutaji wako bila kujali changamoto unazopitia, ambapo alidai kuwa Harmonize alikuwa sahihi kumpiga Baba Levo.


Ikumbukwe kuwa week iliyopita Baba Levo ‘aliposti’ katika ukurasa wake wa Instagram akidai ameshambuliwa na Harmonize bila kueleza sababu ya shambulio hilo na amedai kuwa kwasasa kesi hiyo iko polisi.


Kufuatiwa na tukio hilo mwanamuziki Harmonize hajazungumza chochote mpaka sasa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad