Ngoma ya Diamond Platnumz na Rema Yashindwa Kutoka Kisa Dharau za Rema

 

Ngoma ya Diamond Platnumz na Rema Yashindwa Kutoka Kisa Dharau za Rema

Mtayarishaji wa video za Muziki nchini, Director Kenny moja kati ya interview yake aliyoifanya ameweka wazi chanzo cha diamond kutoachia wimbo wake alioufanya akiwa na msanii kutoka Nigeria, Rema.


"Ngoma ya Rema na Diamond mimi ndo niliishoot ila haikutoka, sababu kubwa ni kwamba Rema alileta mambo ya kuvimba vimba nini, Diamond akaona dogo analeta dharau akapiga video chini," amesema Director Kenny.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad