Q Chief Aibuka na Kumlipua Diamond Platnumz na Babu Tale




Baada ya taarifa kuwa Alikiba anafungua kituo chake cha TV na radio kwa ushirikiano na Joseph Kusaga, Q Chiel aibuka kumlipua Diamond Platnumz na Babu Tale

Kwanza, Q Chief ameanza kwa kupost picha ya Alikiba na kumsifia kww kusema..

"Nianze kwa kukupongeza(Alikiba) though si mara ya kwanza licha ya upole na ukimya wako hujawai kuwa snitch hata siku moja .hili nitasimama na kulisemq popote nimeona nikuambie hapa hapa big up na Mungu akusimamie katika kila ulifanyalo .ww ni mshindi wa vita zote na ni fundi wa mziki haswaaaaa"

kisha baada ya muda Q Chief akapost picha ya Diamond na kumlipua...

"Chibu ishi nayo hii, yote mnayonifanyia na Tale yule Chege kwa Lugumi nayajua na nayafahamu nimevumilia sana ila compresa imeungua sina budi kukuambia wewe ni snitch ulichowahi kumfanyia Darasa years ago ndicho unachokifanya kwangu for how long will u and Tale do this

kumbuka tangu kwa qs Tale unanifitini kwa maneno njia zote zimeshindikana sasa mnazama maungoni , mwaka jana nilipokea simu moja ya mzito mmoja ambaye alituchagua wasanii kadhaa ikiwemo TNC nilipoulizwa promo tufanye wapi nikachagua Wasafi hapo ndipo nilipojichanganya bila kujua namkaribisha shetwain katika biashara kubwa bila hofu ya Mungu

Mondi ukakata jina langu wewe na Tale na mkasema mambo mengi kwa tajiri najiuliza tu mmefanya kwa wasanii wangapi? hii ndio maana ya roho mbaya wanaoogopa kukwambia wana faida na wewe mimi sijawahi nq kwa mfumo huo sitarajii vipi kaka au radio inakupa stress

mbona sisi tunaishi nazo imekuwaje tena ungekuwa mtu mwenye nidhamu na hofu ungepokea simu za jo ni zaidi ya miezi 8 au tisa hamko sawa .jiandae Ali Kiba anakuja na media yake sidhani kama atakuwa na mfumo onevu kama wako

when a man takes too much time to preach ur evil and not good jua kuna vitu vingi moyoni mwake na anavitumia kama kivuli cha kukuharibia mambo yako .mi pia ni binadam kama wewe na nina hisia unapozigusa bila idhini ya Mungu unanikwaza .take this with u today"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad